top of page


KIVINET
VICOBA GROUPS PAGE
UANACHAMA
JINSI YA KUWA MWANACHAMA:
Fursa ya kuwa mwanachama wa KIVINET iko wazi kwa kikundi chochote cha VICOBA kilichopo ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro. Mwanachama atatakiwa ku-jaza fomu maalum na kiingilio na ada ya uanachama ya mwaka. Uanachama unatolewa kwa kikundi na siyo kwa mtu mmoja mmoja. Kiingilio na ada hupangwana BODI ya KIVINET.

bottom of page